Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
EwaaaaaDar kwa kina Lee..
EwaaaaaDar kwa kina Lee..
Atafute ile TIN namba yake iwe karibuTunataka zawadi sasa
Kama kweli vileFresh tuuu..
Nataka jamaniNdiwo au hutaki mama naah
Hahaha hahaha hahaha
Tusichoshane hebu... Mie nalala zangu jamani...
Nyie mnakunywa sijui Heineken wengine cha Kiitaliano mnanichatisha tuu mimi...
Nalala, kwa herini




Jiandae kuamka saa sita mama naahNinayo banaAtafute ile TIN namba yake iwe karibu
Hahhhha hao watu wako wapi tupo wenyewe apaKwamba mnanisingizia...!
Mmekula nini wewe na dada yako?
Au mnapenda tuu kujaza watu huku kapuku...
Hahaha hahaha hahahaJiandae kuamka saa sita mama naah
Jana niliwahi kulala nikaamka saa nane nikaangalia zangu movie tu
Kama lile linalokuingiaga eti..?Hahaha hahaha hahaha
Bichwa lako
Mm nakujua mama naah tabu kwa asiyekujua ujueHahaha hahaha hahaha hahaha
Fala wewe
Hebu fanya kumpa yule dereva wako etiHahahaaa!
Unastahili zawadi wewe..
Atafute mara ngapi anayo jamani mbona unatafuta visingizio kila sikuAtafute ile TIN namba yake iwe karibu
Lee mtoe hapo hakujuiWengi tuuuuu...
Kina Lee , nyagei.. da vinci
Sasa tusubiri zawadiNataka jamani
Acha maneno basiHahahaaa!
Unastahili zawadi wewe..
Hahaha hahaha hahahaHalafu mjue mnanichanganya sasa kiukweli siwaelewi
Sawa dadaMm nakujua mama naah tabu kwa asiyekujua ujue
Lipi hilo tenaKama lile linalokuingiaga eti..?