Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hahahaha, mbn Dar niliandika ktk Uzi wa wanywa bia kuwa niko Tipsy, sea cliff ,na nilisema nimekuja kutazama game na mambo yangu kwa siku 4

Hkn aliyejua km kuna aliyekuambia basi alisoma hizo post's wala hanijui
Nakojoooaa ila wewe mzee Mungu anakuona mm nina file lako nilijuaje kama ulikuwa dar
 
Eiish acha nileft humu muwe na usiku mwema jamani watu wamepanick sijui shida nn woiiii matani mtu unapanick

Mbona ulisema una picha zangu sijapanick

Muwe na usiku mwema
Acha na mie nitoke!

Usiku mwema love
 
Mama D njoo bhana..!

Au ndio safari ya magogoni ?
Eiish acha nileft humu muwe na usiku mwema jamani watu wamepanick sijui shida nn woiiii matani mtu unapanick

Mbona ulisema una picha zangu sijapanick

Muwe na usiku mwema
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom