Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,244
- 90,420
Mmemalizana na T ? ameisha Ku unblock lkn
Utaua ujueee
Utaua ujueee
Hahaha hahahaNione huruma basi Hata Easter ipite lakini ....
Unalala na pyjama ya pink nikuletee ua ni hii nyeupe?Baba Naah
Tukalale hebu
Hahaha hahahaNatamani nikuingize kwa moyo wangu uone kilichopo..
Tulimaliza siku nyingi sana...
Sasa leo nikataka kuomba hela za siku kuu bana!
We mzee relax kama alivyoimba darasa woiiii kumbe hujuagi matani hapa tunataniana tu acha kupanick relax
Mie leo nalala na jeans....Unalala na pyjama ya pink nikuletee ua ni hii nyeupe?
Tobaaaa !Hahaha hahaha
Tuma ya dompo kwanza
Namba ni ile ile ya voda?Hahaha hahaha
Naomba hela za siku kuu mimi
Hahaha hahaha hahaha hahahaHii gia ya Rav 4 kill sasa umekuja kuitumia kwa scania 440 ...
Wewe na wewe bhana!
Hapana baba NaahTobaaaa !
Dompo kuanzia jumatano huko Easter ipite kwanza..! Afu ushakuwa mlevi eeh?
Mie leo nalala na jeans....
Naomba hela hebu
Kuwa na amani kabisaaa...
Unafikiri ingekuwa block si ningeenda pm kwake ningeweka hapa?!
Nisamehe kama nimekukwaza ila hutoona nakutania tena mkuu! Nilijua ni moja ya utani wa kapuku!
Nisamehe mimi, usiku mwema!
NdiwoooNamba ni ile ile ya voda?
HahahahaHahaha hahaha
I think it is....
Asa si haupoo ama unataka nikulwe na popo bawa!Yaani unalalia jeans na hela unataka..?
Ila si unajua vile mimi sinaga nouma..!Hapana baba Naah
Nasikitika kukuambia hujawahi cheza na text zangu!
Isiwe kesi, nimekosea kukutania! Naomba unisamehe!