Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Mwaegu
Mwaegu
Hahaha hahaha hahahaWewe nani kakuteka au umeniblock wozap
Kwenye Bible
Shunie njoo mchukue dada yako ...! Naona kalewa mapema leoKwenye Bible
Mie situmii kilevi baba Naa
Umesema melewa
Nazidi kuona sura ngeni tu.

Hahaha hahaha
Huku ninapokaa sasa hakunaga kunywa pombe...!Hahaha hahaha
Morning baby T
Najua leo kilevi kimeisha pia
Pole mno jamanii...Nimeshagombana na mtu mapema hii kwa ajili ya April's fool..
Mimi mtu mzima sitaki matani ya kijinga..
Morning baby wangu Sakayo
Sent using Jamii Forums mobile app
EeeehhhHuku ninapokaa sasa hakunaga kunywa pombe...!
Hadi uwe na licence ya kununua pombe and its too Expensive..
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina uhuru wa kupokea simu muda wowote...! Labda namba ngeni ndio sipokei katika mida fulani hivi..Pole mno jamanii...
Na wewe usiwe unapokea simu za asubuhi asubuhi bana!
Mie huwa nawadharau wanaoendekeza ujinga ujinga!!
Mimi sijambo kabisaaa baby T....
Sijahamia bhana! It's a short stayEeeehhh
Kwani umehamia mamtoni ama!
Unikujie na zawadi bana
AwwwNina uhuru wa kupokea simu muda wowote...! Labda namba ngeni ndio sipokei katika mida fulani hivi..
Nakupenda Sakayo
Sent using Jamii Forums mobile app

Jana nilikuwa nakumbuka sana...ila nimelala nimeamka asubuhi sikumbuki tena mama NaahAwww
Ujue leo ni fools day baba Naa

