Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,444
Kwema jirani
Kwema jirani
[emoji38][emoji38]navyoipenda hii mie,Marahaba mama hujambo.?
Alafu leo unaamkia km Tumosa [emoji85][emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
Salama jirani,za masiku?kwema huko
Kwema dada angu?haujambo??wawili wanaendeleaje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hatujambo ankoo,kwema huko?Hamjambo
MTC | 101| [emoji769]
Nzuri tuu tunajiandaa na kuukimbiza mwenge,huku kwema kabisa ulipotelea wapi jamaniSalama jirani,za masiku?kwema huko
Hahahaha, Anko kwema kabisa ,cjui weye hapo ulipoHatujambo ankoo,kwema huko?
Haha kwa hyo kuna mkesha wa Mwenge leo huko?Nzuri tuu tunajiandaa na kuukimbiza mwenge,huku kwema kabisa ulipotelea wapi jamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Huku kwema pia ankoo,hicho kicheko mbona kama cha kuicheka Simba itakavyobebeshwa kapu la mabao huko,kma wale Constantine[emoji2][emoji2][emoji2]Hahahaha, Anko kwema kabisa ,cjui weye hapo ulipo
MTC | 101| [emoji769]
Huku kwema pia ankoo,hicho kicheko mbona kama cha kuicheka Simba itakavyobebeshwa kapu la mabao huko,kma wale Constantine[emoji2][emoji2][emoji2]
Shikamoo binamu...bado mapema ndugu yenu nina makorokocho ya kukamilisha, nikija nitakuja kukusalimia mdau ila kwa sasa hebu burudika kwanza.\\
Kabisaa Mungu mwemaSafi ,naona mko poa kabisa
MTC | 101| [emoji769]
[emoji3][emoji3][emoji3]siyo leo jirani nawe...Haha kwa hyo kuna mkesha wa Mwenge leo huko?
Nipo jirani,wawili walikuwa wanasumbua[emoji2][emoji2]
Asante telemundo[emoji3]...bado mapema ndugu yenu nina makorokocho ya kukamilisha, nikija nitakuja kukusalimia mdau ila kwa sasa hebu burudika kwanza.\\
Mdogo wangu shikamooo[emoji125][emoji125][emoji125]