makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,783
- 103,758
midamida wadau. Tuwe na j4 nzuri, kama vipi, baadaye. Much love to you good people and have a wonderful rest of the day. Obe
Hahaha hahaha
Mungu ni mwema
Hahaha hahaha
Shkamoo

navyoipenda hii mie,Marahaba mama hujambo.?
Ooooooooyooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo



Sijambo mimi dada...navyoipenda hii mie,Marahaba mama hujambo.?
Alafu leo unaamkia km Tumosa![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi tenaOoooooooyooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
Nami nakusalimia binamu. Kwa kweli kitendo alichonifanyia hakikuwa haki kabisa ila ndo atabaki anajishangaa maana kila nikiwa nna hela basi najikuta nampenda yeye badala ya madame Sepenga
Hahaha haya unayoyasema hapa yana ukweli binamu?maana huchelewi kubadiri gia angani
Looh,inawezekana nna hizo nyota mbili maana kupendwa na hela ambazo hazijatoka mpk leo dah....ha hahaha, hakuna mwingine yaani ninampenda ABJ ia tatizo nikipata hela tu basi moyo wangu wote kwako, au una nyota ya dhahabu na fedha?
Looh,inawezekana nna hizo nyota mbili maana kupendwa na hela ambazo hazijatoka mpk leo dah.
ABJ mkumbatie vyema Mr wamsikia maongezi yake.?
Uko salama lkn,?Habari ya mtwara na kwingineko. ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tufanye mpaka sala!! Sala!! Salahhhh!!...mzee mwenzangu nashukuru kwa kujibu salamu nami naijibu. Tutaendelea kujibishana salamu hadi kokoriko
...niko salama sana, asante kwa kuuliza, Ntwara kuchele, huku kwingineko jua tu linawaka, tunahangaika tu sasa hivi na kuangalia nini tununue tukilipwa hela zote maana zile nusu walizolipa, mfano mimi, nimeshazimaliza na nimezimaliza kimchezomchezo tu, nilibet kwamba Tz itafungwa na Uganda.
Kuhusu ABJ tafadhari useme taratibu asije akadhani kutofautisha uongo kwenye ukweli ni kazi rahisi.
Naamini uko poa hapo mjini,

kubeti tz ifungwe na uganda ulikosea sana ndio..kubeti tz ifungwe na uganda ulikosea sana ndio..
Kuhusu ABJ usjali mwelewa kbs bimkubwa huyu.
Niko poa mjini tunakimbizana na wakti.
Sent using Jamii Forums mobile app



