Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
[emoji108][emoji108][emoji108]
[emoji108][emoji108][emoji108]
[emoji23][emoji23][emoji23]
Poleee
Miss uhi[emoji113][emoji113][emoji113]binamu!
Uko poa?Hello Tumosa
Ulitumika kutuma lijinamba la mangi ili nidai na chenji,
Nko poa za we,pole mihangaiko ya siku
Ndio utizame pakupekua, utapekua kwenye jalala ukatwe na chupa shauri yako..
Kamba ya kamba, kwani kuna kamba ya namna gani na namna gani!?Hee[emoji15][emoji15]nishakua mwenyeji mbona
Au kamba ya namna gani
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado nyimbo ya diamon na mwenzie harmonizeUlitumika kutuma lijinamba la mangi ili nidai na chenji,
Cha ajabu mpk ss kimya
Sent using Jamii Forums mobile app
Weka mdomo kama unataka kuzuia mate ya uchu wa embe mbichi, halafu vuta hewa kwa ndani kama mam mjamzito anayemnyali mumewe anaenuka kikwapa..
Niko gud...Uko poa?