Makapuku Forum

Makapuku Forum

Muulize mjomba wako obe.. Chumvi chumvi nimekula hamna hamna nina kontena moja na nusu la chumvi mwilini..

Enzi za franco na tp ok jazz nilikuwa tayar nishaanza kwend disco..

Sent using Jamii Forums mobile app

....nipo mdau mwenzangu wa pande za Sunrise beach, niko mjini na kama kawaida niko namsikiza NC Chaku anatuburudisha kwa show hapa Kontena. Mapema asubuhi maveterani tunakiamsha kutafuta appetite ya kula supu na chapati.
Anway tuyaache haya ya kibinafsi mpwa.

...enzi za Franco mimi tayari nilikuwa nishaanza kutembea na Yondo Sister kila usiku, hizi ni siri zisizo na madhara (unclassified), hapo sijamuongelea Tshala Muana na Mbilia Bell- tuyaache haya kwanza, nikukumbushe kwa bakulutu hii

Karibu huku vitambi fc kila jumamosi na jumapili asubuh tunaudananda kama zidane..

Kabla ya kumuoa shemeji yako ilikuwa nimuoe mbilia bell ila tabu ley akanitangulia kidogo, madilu ndio alinifanyia mipango yote mzee mwenzangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Obe
Marybaby mbona unatufuruga(in senga's voice) kuamka ndio kupumzika ama kulala ndio kupumzika..

Wengine tunalala nafsi ya kwanza umoja, so tunapumzika, au ulikuwa unawaambia mupumzike nyie mnaolala nafsi pili uwingi, nyie mnaolala 4 legs mabingwa wa kulegeza nati za vitanda, nyie ndio usiku hampumziki, ila sie wakina pangu pakavu tia mchuzi.. Iihh, ndio mida yetu kupumzika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Niliwaamsha wanaolala nafsi 2kwa mda nilowaamsha bila shaka walikua hoi.
Habari yako.?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom