Makapuku Forum

Makapuku Forum

....ha hahaha, Mary, mwanamke unayependwa na hela zangu. Nilikumiss na always ni furaha kukuona hapa.

Hayo masimba aka mnyama ni kwa sababu timu yangu na Haji Manara ilifanya mauaji ya kikatili pale kwa wale jamaa wa Congo, hiyo baiskeli ndo usafiri wangu job nakata kitambi na kutafuta appetite ya biere kwa kuendesha baiskoo (nna eseni usiogope) na nina mkoba wa kazini na jtatu huwa nanyonga tai kama bosi kumbe ni bosta (boss of shit).

Uko poa lakini
Salam zako nyingi.......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kifupi bila kupoteza muda wa kila mmoja wenu, ninawasalimia na kuwataarifu kuwa ndugu yenu nilikuwa na wikend nzuri, asanteni kwa kutouliza na ninaandika kuwatakia wiki njema na kama kawaida yangu, salamu zinasindikizwa na burudani.

BTW ni furaha kumuona marybaby jukwaani. Mimi bado ni yule yule

unakuaje yule yule wakati una malipo ya awali?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom