ABJ
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 4,922
- 13,817
Nawe mvizie uwe unakaa sehemu unazoweza kukimbia. Muwe mnaviziana.
Mwenyewe
MfyuuuuNtakuona unavoniagiza tigopesa![]()
Ww si haujui kuachikaAnakudanganya shemela haachiki mtu hapa
Shululu huyohuyo
Nishasahau bwanaHebu kiniambie hicho kitu eti
Binti ebu tafuta picha ya mdada uweke kwa avatar
Kwani jana ulilinda jukwaa
Kumbe mlikua na nani eti
Shikamoo na yanguMwenyewe
Tumosa hakubali kuachika ila ameachwa
Hata mie siwez kukubali aachike.. Shemela ukuye huku, kuya huku mara moya!!Tumosa hakubali kuachika ila ameachwa
Tumosa hakubali kuachika ila ameachwa
Hajaacha mtu,mama JJ kipenzi changu