Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623


Hatujambo mumie sijui huko kwenuTumosa mamanimekimbia mbio ndefu jamani.
Heri ya Feb bby,familia ndugu na jamaa wazima?
Naona shangazi Shunie umeondoka na wanao wote
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwema dada angu??familia haijambo huko?Kaka yngu ningendako
Usisahau kumpelekea panadol piaHiyo picha ya chura nimeiweka makusudi ili imtese rafiki yako Lee!

Mambo vp??

Mambo vp??
Uko poa ww?siku yako ipo vp huko
Hahaha hilo mheshimiwa ndio umeanza mapema kuelekea magogon 2020 eeh hahahMambo yangu poa sijui yako mheshimiwa in advance
Sk alham imekwisha fresh
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha hilo mheshimiwa ndio umeanza mapema kuelekea magogon 2020 eeh hahah
Una utani wa ngumi ww
Kwatu tunavyowapenda na tumewakumbuka jamaniHatujambo mumie sijui huko kwenu


Hahah
Kwema kabisa hatujamboKwema dada angu??familia haijambo huko?
Shikamoo kaka anguHahah
Wakati huo hili lipo wapiView attachment 1014421
Heshima yko binamuNawasalimia tu wadau, na kama kawaida siwachi kuleta burdani kila nikijaaliwa nafasi ya kutembelea na kukutana nawe mdau unayelifanya jukwaa hili kuwa sehemu nzuri kuwepo
Heshima yko binamu
Marhaba dada angu,kwema ngumban??kina anko hawajambo huko??Shikamoo kaka angu

Hahah
Wakati huo hili lipo wapiView attachment 1014421