Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hizi hela nikilipwa kwa kweli kuna watu tutaonana wabaya.

Ila binamu hata wewe usitegemee kupata hela nyingi maana walisema watatulipa 3300 sasa ona wanasema 2600. Hii serikali inataka kunipunguzia hela za kumtafuta Wema Sepwtu
Hahahah kwan Sepenga bado hujapata namba zake tu binamu,mm nilijua tyl upo hatua za mwsho mwsho kabsa

Chochote utakachonipatia mm ntashukuru binamu ila usimsahau ndugu yangu Tumosa tupigana sana pale Ras Simba
 
...hizi namba nitazipata na mpunga ukitema tu basi mwanao utaniona kwenye insta navinjari na mrembo mwenye mvuto na sifa za kipekee hapa nchini, ndo miss wa kwanza mwenye neema za Mungu (wengine wanasema kajiongezea lakini unadhani najali basi).

Tumosa na wewe siwezi kuwasahau, mlinipiga sana tafu wakati nafanya jitihada za kunoa kiingilish changu kumkabili marybaby

Anyway, nashukuru kukuona binamu, naamini baridi unalikabili kisawasawa
 
Hahahah binamu bhana,eeh mrembo mwenye nyota yake yule,,binamu ukianza vinjar nae tu lazima ugeuke kuwa sukar ya warembo mjini hapo

Itapendeza sana kama hutotusahau binamu,tumepambana vya kutosha richa ya fitina za mswatinyumbanyingi

Hahah barid napambana nalo mwanzo mwsho,unaweza kuganda haha
 
Poa poa mkuu,,najua unapenda zile action za russia sana,,kama ukipata time jaribu kupitia hii kitu Huter Killer,,utajifunza kitu,,hii ni ya yule jamaa wa London Has Fallen na Olympus Has Fallen kama ulishawah zipitia mzee

....nami naiweka kwenye rada zangu this weekend niiangalie.
BTW, ukitaka kucheka wikend hii tizama The Upside, a true story , hutajutia muda kama unapenda real life comedy drama
 
Ha ahahahhahhahah eti kwao Mwiko kweli aisee
......na vile vinamuamini mwalimu kuliko wewe unayelipa hela. Utoto raha sana, mikwara mingi. Lakini ndo wanaotufanya tuamke asubuhi kusaka riziki.
utoto raha bwana asikwambie mtu,
Wanachokijua ni kupokea hakuna neno lingine.
Ndo maana mastaa wa Daslam hawataki kabisa kukua
Umeamka salama eti.?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahah binamu bhana,eeh mrembo mwenye nyota yake yule,,binamu ukianza vinjar nae tu lazima ugeuke kuwa sukar ya warembo mjini hapo

Itapendeza sana kama hutotusahau binamu,tumepambana vya kutosha richa ya fitina za mswatinyumbanyingi

Hahah barid napambana nalo mwanzo mwsho,unaweza kuganda haha
Hivi aliitumia hii elimu ya ras simba.?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
siamini mpk ss hujafanikisha namba aise
...hizi namba nitazipata na mpunga ukitema tu basi mwanao utaniona kwenye insta navinjari na mrembo mwenye mvuto na sifa za kipekee hapa nchini, ndo miss wa kwanza mwenye neema za Mungu (wengine wanasema kajiongezea lakini unadhani najali basi).

Tumosa na wewe siwezi kuwasahau, mlinipiga sana tafu wakati nafanya jitihada za kunoa kiingilish changu kumkabili marybaby

Anyway, nashukuru kukuona binamu, naamini baridi unalikabili kisawasawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi hela nikilipwa kwa kweli kuna watu tutaonana wabaya.

Ila binamu hata wewe usitegemee kupata hela nyingi maana walisema watatulipa 3300 sasa ona wanasema 2600. Hii serikali inataka kunipunguzia hela za kumtafuta Wema Sepwtu
Zile mbwembwe za tuna mahela wasitubabaishe,,kwisha habari yao hehe haya mpokee hata 2000

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom