[emoji23] [emoji23] [emoji23] hujaacha tuu
Wapendwa
Mko wapi
Nmewamiss mno
Mama mchungaji nami nilikumiss Sana
Ewaaaaaaa!!Kicheko pendwa!!![emoji16][emoji16][emoji16]
Mambo ya kumbatio hayanihusu mimi mkuu,ninachokijua mimi ni kwamba wazinzi wote wataenda motoni![emoji34][emoji34][emoji34]
Bwana asifiwe.Mkuu kwanza mimi nimeokoka, mambo ya kumbatio kuanzia leo usiwe unayaongea mbele yangu!
[emoji38][emoji38][emoji38]Mkuu vyura vinahusika nini na kuokoka?vyura ni tamuuu alizotuumbia mungu baba!View attachment 1013565