Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,783
- 95,575
Ni kweli ulikuwa hujui? Miaka mingi imepitaSema kweli jamanii
Ni kweli ulikuwa hujui? Miaka mingi imepitaSema kweli jamanii
Sijui mie jamaniiNi kweli ulikuwa hujui? Miaka mingi imepita
Upo nchi gani kwani?Sijui mie jamanii
NamtumboUpo nchi gani kwani?
[emoji1][emoji1] hata huko wanajua, ni wewe tu ndo huna taarifaNamtumbo
Mwaka gani alikufwa eti, aliumwa au ilikuwa vipi?![emoji1][emoji1] hata huko wanajua, ni wewe tu ndo huna taarifa
Nahisi hata miaka mitano imepita jamani, fununu zinasema alikufa kwa ngoma, am not sure lknMwaka gani alikufwa eti, aliumwa au ilikuwa vipi?!
KhaaaaNahisi hata miaka mitano imepita jamani, fununu zinasema alikufa kwa ngoma, am not sure lkn
Radio na tv pia hukuwa nazo nadhaniKhaaaa
Miaka yote hiyo kumbe! Au nilikuwa sina simati foni
Nahisi hivyo...Radio na tv pia hukuwa nazo nadhani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] al asir hii bhana,,unaona sasa,,punguza kuota ndoto