Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hahaha ww cheka tu,,unamjua vzr binamu yangu,,naona yale mapesa ya koroshow huyapend ww

Hizi hela nikilipwa kwa kweli kuna watu tutaonana wabaya.

Ila binamu hata wewe usitegemee kupata hela nyingi maana walisema watatulipa 3300 sasa ona wanasema 2600. Hii serikali inataka kunipunguzia hela za kumtafuta Wema Sepwtu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom