marybaby
JF-Expert Member
- Apr 11, 2017
- 3,260
- 9,197
Enzi zetu hizi binamu,wakat huo mziki unaitwa mziki
Kwema binamu yangu?
Hahaha
Karbu kwenye ukoo
Nini sasa??umeamka tayali
MbinguniHivi Mr Ebbo aliendaga wapi
Sema kweli jamaniiMbinguni
Nimeamka tayari kulipiza sk 5 za utumwaNini sasa??umeamka tayali


Dada mkubwa kabisa (km asemavyo shangazi) Mzima wewe,? Habari ya wiendi?.Hivi Mr Ebbo aliendaga wapi
Hahaha sk 5 za utumwa upi tena
weekend unaitumia sawa sawa
Tena unajitowa faham kbs hata kuinuka kuchukua maji unywe unaogopa kana kwamba ukirudi kitandani inakua j3weekend unaitumia sawa sawa


Hahah kwa hyo leo unakula usingizTena unajitowa faham kbs hata kuinuka kuchukua maji unywe unaogopa kana kwamba ukirudi kitandani inakua j3
Sent using Jamii Forums mobile app
Zile ndoto huwa tamu,,wet dreamz


unazingua,maghrib hii kaongee na Muumba
Zile ndoto huwa tamu,,wet dreamz



al asir hii bhana,,unaona sasa,,punguza kuota ndoto