Hili nalo neno,![emoji50]Kama dunia mapito wasingethubutu kwenda mbali
Hivi nimekusema hapa ndo nimekuamsha eti.?marybaby za kutekwaaa
Salama mkuu wanguSijambo
Habari
Ebu uko
Mambo yangu yanaenda baba wawili sijui upande wakoSalama kabsa shangaz,mambo yako yanaenda?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa shangaz hakunaga siri wallah
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] maka akeee kila nikiwa ferry nakukumbuka juzi nilikuwa uko nanunua samaki
hahahaha obe ananiambia kwamba unasimamia mradi wa furai ova kweli au
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Obe eti ni kweli.? Nimesahau mie mambo ya furai ova #Hiiiiiiiiii
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio muungane sasa na baba wawili sawa toto angu mzuri mzuri
Kwa mahaba gani hayo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na wanaume huwa tunakaa eda
Mjomba kivipiii yaaaniSasa hv nataka niwe mjomba sasa
Unaruhusiwa mkuuSie ambao tumevuka vigezo vya ukapuku tunaruhusiwa kupota hu kuwapa Hi tu [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wouzeeeerrrrr [emoji91][emoji91][emoji91][emoji23][emoji23][emoji23]ndio tuzeeke wote sasa hv
Mahaba mgaragazo[emoji4]Kwa mahaba gani hayo
Mzeeke pamoja[emoji23][emoji23][emoji23] wanasema ujana ule na nani uzee ufanyeje, ?
Sent using Jamii Forums mobile app