marybaby
JF-Expert Member
- Apr 11, 2017
- 3,260
- 9,197

kaukoo kana fujo haka hehe Tumosa mama nakusalimia ulipo,Hivi ujumbe wangu umenipa kwani??
Sasa hv nataka niwe mjomba sasa
Sent using Jamii Forums mobile app

kaukoo kana fujo haka hehe Tumosa mama nakusalimia ulipo,Sasa hv nataka niwe mjomba sasa
Kaukoo ka mapacha hakakaukoo kana fujo haka hehe Tumosa mama nakusalimia ulipo,
Hivi ujumbe wangu umenipa kwani??
Sent using Jamii Forums mobile app


Kaukoo ka mapacha haka
Hahah ujumbe wa shangaz jiwe eeh??
Shangaz kaona kwenye ukoo wetu,,mm nafaa kureplace nafas za mjomba na binamu,,tuunganshe bond


wanakuzeesha aisee km upo kwaajili ya wanaoachwa kz unayoUnaruhusiwa kuwasalimia na kulala japo sk 2 au 3Sie ambao tumevuka vigezo vya ukapuku tunaruhusiwa kupota hu kuwapa Hi tu
Sent using Jamii Forums mobile app

Bila shaka..
Samahan mi ni mwanaume wa mkoan nazan after kula naweza hitaj mahitaj mengne aseeBila shaka..
Maji,sabuni net miswaki mashuka na mablanketi mataulo bila kusahau vyakula pia karibu sn![]()
Sent using Jamii Forums mobile app





wamikoani mna gubu khaa..hayo mengine ndo uje nayo ss
Samahan mi ni mwanaume wa mkoan nazan after kula naweza hitaj mahitaj mengne asee
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kutunyanyapaa wamkoan jaman imekua tunagubu tena hv kweli mtu ule ugali wa nguv unaweza lala bila kupga kaz yyte





ndio tuzeeke wote sasa hvSie ambao tumevuka vigezo vya ukapuku tunaruhusiwa kupota hu kuwapa Hi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Samahan mi ni mwanaume wa mkoan nazan after kula naweza hitaj mahitaj mengne asee
Sent using Jamii Forums mobile app







....wewe bado hata ukapuku hujaufikia.
Sasa kama umepita kutupa hi jitahidi kwanza uwe na simu/laptop nzuri, iwe yako mwenyewe maana madhara ya kutumia kitu ambacho siyo chako yamejionesha kinagaubaga, unakuwa na harakaharaka ili usifumaniwe. Hilo moja.
Pili, karibu sana na jisikie upo sehemu na jukwaa sahihi kuweka makazi.
Zaidi ya kutusalimia, Una Jipya?
Acha kutunyanyapaa wamkoan jaman imekua tunagubu tena hv kweli mtu ule ugali wa nguv unaweza lala bila kupga kaz yyte
Sent using Jamii Forums mobile app


wenye nyumba wamesema. ...alale wapi sasa, labda alale sebuleni kama baiskeli ya mgeni