Makapuku Forum

Makapuku Forum

Asante kwa kunijuza habari nyingi na ni njema pia.
Mimi sijambo namshukuru Mungu mpk ss nipo jukwaani nawasabahi ndugu zangu.
Uanamke baba yaani Uanamke wacha tupambane nao na vile tunadai 50/50
Habari yangu siyo moja, ni nyingi so nitasema habari zangu nzuri. Asante kunisabahi.
Hujambo wewe!?

Pole kwa majukumu uliyonayo, ndo uanamke huo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante kwa kunijuza habari nyingi na ni njema pia.
Mimi sijambo namshukuru Mungu mpk ss nipo jukwaani nawasabahi ndugu zangu.
Uanamke baba yaani Uanamke wacha tupambane nao na vile tunadai 50/50

Sent using Jamii Forums mobile app
Ewaaa, ila mimi kwa saa hizi nataka mama yenu adai 70 mimi aniachie 30 tu ie 70/30 ila nikilipwa madai yangu tu, mmmh, mimi 99 yeye 1.
Ndo uanaume

Asubuhi njema. Love
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom