[emoji3][emoji3][emoji3]ahh wapi hicho cheo ni chakoEbu nivueni nifanye sherehe
Sijambo. Habari yako
Baba wawili hawezi kutembea na Mama yangu huku naona!!Sema polepole baba wawili kaachwa na behaviourist msababishi mkuu
Mjomba hivi si ulistaafu kwa shangazi au mi ndo sielewi??[emoji32][emoji32]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mna wazimu nyie
Nakusalimia na mm jamaniSijambo. Habari yako
Ulichokitaka kimekuwa fanya sherehe sasaBaba wawili hawezi kutembea na Mama yangu huku naona!!
SijamboNakusalimia na mm jamani
Ulichokitaka kimekuwa fanya sherehe sasa
kwa madame nishaachika,,hujui kwani[emoji15]Waaleykumsalaam (japo umeruka shangazi maryam)[emoji4]
Habari ya uzima.? Madame hajambo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Salama kabsa shangaz,mambo yako yanaenda?Kwema baba wawili za wewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Najua huniangushagi baba wawili