Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,440
Kwa shangaz hakunaga siri wallah
Sema polepole baba wawili kaachwa na behaviourist msababishi mkuu
Sema polepole baba wawili kaachwa na behaviourist msababishi mkuu
Duh,,kamati ya roho mbayaBaba wawili hawezi kutembea na Mama yangu huku naona!!
HahaUlichokitaka kimekuwa fanya sherehe sasa


wew jamaa akili zako unazijua mwenyew
Sijapotea mimi jmn,
Mambo mengi January yenyewe ipo 3 bc tafran..mzima lkn ww habari ya dodoma,?![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahaha obe ananiambia kwamba unasimamia mradi wa furai ova kweli au


Obe eti ni kweli.? Nimesahau mie mambo ya furai ova #HiiiiiiiiiiNilikua bize na shemeji yako Prince,Itakua kweli si kwa kimya kile
Hahahah aiseeAhahah haiwezekani tena mwanangu wa pekee sawa eh? Kua na amani mama sasa hatokuangusha
Toka mwaka uanze,,,acha tu kuna kijana wake hapa na madame aliweka kamati kabsa,kamati ya roho mbaya

kwaiyo umemaliza eda tayari.?Toka mwaka uanze,,,acha tu kuna kijana wake hapa na madame aliweka kamati kabsa,kamati ya roho mbaya

na wanaume huwa tunakaa edaSasa hv nataka niwe mjomba sasa