Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yule ukimuuliza swali kama hl atatoa jibu haliendan na swali,si ajabu akaanza kuelezea mambo ya shanga sijui cheni imefanya niaje
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka uwiiiihh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
...ha hahhaa, ongea polepole (sio mwenezi), pesa ya korosho bado ndugu yangu (inabidi tu nikuite ndugu yangu maana u-baby bila hela ya korosho nitakuchosha tu )

Labda mkulu akimalizana na viongozi wa dini atatulipa. Kuwa mvumilivu
Undugu tena,? Hapana kwakweli.
Viongozi wadini wameshajazwa tyr akitoka huko anakuja ntwara kaeni tayari kwa mikono miwili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom