Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Heshima yko ze kitabuKiungo wa Manchester United na Ufaransa Paul Pogba , 25, yuko tayari kuketi chini na klabu yake kuzungumzia kuongezwa muda wa mkataba wake. (Sun)
Heshima yko ze kitabuKiungo wa Manchester United na Ufaransa Paul Pogba , 25, yuko tayari kuketi chini na klabu yake kuzungumzia kuongezwa muda wa mkataba wake. (Sun)
Abeee
Mm mzima sana prince
Njema za ww dearhabari za masiku dear
[emoji120] [emoji120] [emoji120] miss u more binamuUpo binamu yangu wa ukweli. Miss you
Nko poa sana...marhaba binamu, ujue ni kama mawazo yetu yamekutana pamoja. Uko aje wewe
Nko poa sana
Pole na majukumu
Nashukuru[emoji120] [emoji120] [emoji120]...asante. Pole na wewe pia. Kina JJ hawajambo eeh
Hahahaha sawa bwana
Sawa we mzee nimekuamini
Wouzeeerr [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Kiungo wa Manchester United na Ufaransa Paul Pogba , 25, yuko tayari kuketi chini na klabu yake kuzungumzia kuongezwa muda wa mkataba wake. (Sun)
GGMU [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Mshambuliaji wa United na Ufaransa Anthony Martial , 23, yuko karibu kuukubali mkataba mpya ugani Old Trafford. (ESPN)
AkwendreeeeeEden Hazard , 28, amesema hatojiunga na Manchester United hata iwapo Zinedine Zidane atakuchua nafasi ya kuwa meneja na kudokeza kwamba atasalia Chelsea.(Star)
Hapo sawaMjomba yao akina wawili sio mm[emoji23] [emoji23]