Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,282
- 35,645
Binamu kwema
..kwema sana binamu. Mambo yanaendaje mdau?
Nilitingwa kidogo wiki hii ila nipo poa nashukuru.
Umekuwa adimu na unaingia mida mibovu? Vipi na wewe unategemea WiFi ya jirani nini (joke)
Binamu kwema
Haha nipo vyema binamu,,nipo napambana na hali yangu,,,ndio nategemea Wifi ya jirani binamu..kwema sana binamu. Mambo yanaendaje mdau?
Nilitingwa kidogo wiki hii ila nipo poa nashukuru.
Umekuwa adimu na unaingia mida mibovu? Vipi na wewe unategemea WiFi ya jirani nini (joke)
Kheee makubwa mbalizi kawa lini mjombaWazima kabisa hofu kwako mjomba yao
Huyo baba wawili lazima afurahie si ndio alichokuwa anakitakaKafurahia,,mzee wa kamati ya roho mbaya hahag
Mi Niko poa kabisa sijui wewe
..kwema sana binamu. Mambo yanaendaje mdau?
Nilitingwa kidogo wiki hii ila nipo poa nashukuru.
Umekuwa adimu na unaingia mida mibovu? Vipi na wewe unategemea WiFi ya jirani nini (joke)


Asubuhi njema watu wema mnaolifanya jukwaa hili kuwa sehemu nzuri kuwepo.
Kazi njema kwetu sote na wale wa shift za usiku basi usiku mwema (si mnalala 🙂)
![]()
Wote hawa pichani ni muhimu kwa historia ya America (USA) Mmoja wa kulia unamfahamu sana hata wewe, ushawishi wake kwa haki za weusi Marekani ulisambaa duniani kote, alihimiza heshima, uwajibikaji na haki za binadamu kutaja machache.
Huyu mwingine anaitwa Bob Lee, jenerali wa inayojulikana kama Confederate (hawa waliamini mtu mweusi ni dhaifu -inferior to whites- na alipigana katika vita kadhaa kutaka hakli ya kuruhusiwa kumiliki watumwa. MLK kwa USA ni sherehe ya kitaifa (federal holiday), hakuna ofisi inayofunguliwa na sahau kupokea barua kwenye maadhimisho yake kila Jan 21.
Sio mbaya ukajua machache ya mabeberu

Verse of the Day
Luka 12:11-12
11 Na watakapowapeleka ninyi mbele ya masinagogi na maliwali na wenye mamlaka, msifadhaike kwa kuwaza maneno yenu jinsi mtakavyojibu au kusema; 12 kwa kuwa Roho Mtakatifu atawafundisha saa ile ile yawapasayo kuyasema.
Commentary
Wakati tunahitaji msaada zaidi, Yesu anaahidi kuwa atakuwa pale na atatuma Roho wake kutupa maneno tunayohitaji. Kwa karne nyingi, ahadi hii imewasaidia wale wanaokumbana na mateso na dharau. Iliwasaidia kutambua kwamba hawakuwa peke yake na kwamba hawakuhitaji kuwa na wasiwasi juu ya kuwa na jibu kamilifu kwa kila kitu kinachoingia ili kukabiliana na wasikilizaji wenye chuki. Ahadi hiyo hiyo inawasaidia Wakristo leo ikiwa ni chini ya mateso ya serikali au wanakabiliwa na uadui wa wasioamini katika sehemu ya kazi, shuleni, au nyumbani. Tunakabiliwa na adui zetu, tunajua sisi sio pekee; Mwokozi wetu huenda pamoja nasi.