Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Tunakupenda pia babe [emoji8][emoji8] ulale unono
Tunakupenda pia babe [emoji8][emoji8] ulale unono
Daahh kiunoni Tena !!! ...ndio umeamua kuniua mazima na pressure ... shunie shika moyo wangu na uite ambulance please otherwise nitakufa sasa hiviWoyooo [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]wapi magold..
Lakini my telemundo hunitakii mema unataka ning'olewe shingo mwenzio huku najiona, basi ntavaa kiunoni siyo lazima wambea wazione
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa eer mana macho ya watu siyo mazuri kabisaa ntakuta gold zangu zinapauka hivihivi[emoji3]Kiunoni tena mambo anayoyapenda hayo binamu
Jaman jaman we nae si mkewe?tena akupenda sana hajakwambia Kama kapokea au la! [emoji3][emoji3][emoji3] mhh obe jaman
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]jaman we mtu unataka kuniharibia ebu tulia kwanzaDaahh kiunoni Tena !!! ...ndio umeamua kuniua mazima na pressure ... shunie shika moyo wangu na uite ambulance please otherwise nitakufa sasa hivi
Sent using Jamii Forums mobile app
....nakupenda sana wewe, ila hela zangu zinampenda marybaby
Nashindwa kuelewa kabisa, nikilipwa tu nakukabidhi wewe, uwe unanigawia kidogokidogo.
Na usiache kunipa kidogo nikaoshe macho kwa madamu sepenga
[emoji3][emoji3][emoji3]mie nazitaka hela tu nikipata
Ndukiii silei watu wazima [emoji6]
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sawa kabsa jirani hahaha,,ujana wake binamu alikula na nani??
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahhahahhaa mbavu zanguDela halikumtosha, joho litafaa nini??
Mshauri avae gagulo
Daah nimesha Achwa[emoji23][emoji23][emoji23]jaman we mtu unataka kuniharibia ebu tulia kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Hhahahaha kufwa tukuzikeDaahh kiunoni Tena !!! ...ndio umeamua kuniua mazima na pressure ... shunie shika moyo wangu na uite ambulance please otherwise nitakufa sasa hivi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahhaha jamaniii jamaniii baba wawili uko wapiii acha binamu yako achune na vibinti....nakupenda sana wewe, ila hela zangu zinampenda marybaby
Nashindwa kuelewa kabisa, nikilipwa tu nakukabidhi wewe, uwe unanigawia kidogokidogo.
Na usiache kunipa kidogo nikaoshe macho kwa madamu sepenga
Hahaahhaha[emoji23][emoji23][emoji23]jaman we mtu unataka kuniharibia ebu tulia kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya ni zaidi ya mahaba...navyokupenda yaani ukikohoa me natema, ukibanja lile kohozi gumu/zito nalimeza
Woyooo [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]wapi magold..
Lakini my telemundo hunitakii mema unataka ning'olewe shingo mwenzio huku najiona, basi ntavaa kiunoni siyo lazima wambea wazione
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani kuto onekana huku majuma kadhaa tayari nimeshaporwa @ ABJ ... ama kweli napenzi kiti cha Bus
Ngoja nimeze panadol kwanza ... nitafute na Valium zilipo otherwise siwezi kupata usingizi mimi !''"
Sent using Jamii Forums mobile app