Tupo sana ndugu yetu. Una Jipya?
Hahahahah yaani we binamu mambo zakoNitakuwekea ulinzimy telemundo.
Kiunoni utavaa za shanga za kimasai, huwa inapendeza zikikatika unaanza kuokota utunda mmojammoja, napataga hamu ukiwa unaziokota
Nilijua ndio umeshatekwa tena kumbe upoAaah huyo Al-watan sina hofu nae kwenye sekta hizo!!..
Tupooo habari yako
Lala ukue zaidi!..Nilijua ndio umeshatekwa tena kumbe upo
Nalala nikue sijui nakuaje shunie mm zaidi ya hapaLala ukue zaidi!..

Sijapokea bado, wanatuhakiki majina, wanafanya sensa, ila tayari shamba langu wamelihakiki na wamenipa cheti, bado check tu sasa


nadhani ameuona ushauri wako na ataufanyia kz.Dela halikumtosha, joho litafaa nini??
Mshauri avae gagulo
Daahh kiunoni Tena !!! ...ndio umeamua kuniua mazima na pressure ... shunie shika moyo wangu na uite ambulance please otherwise nitakufa sasa hivi
Sent using Jamii Forums mobile app

hizo hela nazo kunipenda mimi jamani embu ABJ zipate mama tufanye mambo
....nakupenda sana wewe, ila hela zangu zinampenda marybaby
Nashindwa kuelewa kabisa, nikilipwa tu nakukabidhi wewe, uwe unanigawia kidogokidogo.
Na usiache kunipa kidogo nikaoshe macho kwa madamu sepenga
...hela zipo, wanatuhakiki majina. Nduki usitoke hadi hela ziishe




Mmmmmmmmmmmmmmm...navyokupenda yaani ukikohoa me natema, ukibanja lile kohozi gumu/zito nalimeza
Nalala nikue sijui nakuaje shunie mm zaidi ya hapa