marybaby
JF-Expert Member
- Apr 11, 2017
- 3,260
- 9,197
Shangazi bado mchanga kbs yaani.Naona sasa umeamua kumtukana shangazi yako
Naanzaje kumtusi mimi
Sent using Jamii Forums mobile app
Shangazi bado mchanga kbs yaani.Naona sasa umeamua kumtukana shangazi yako
Yangu macho
[emoji3][emoji3][emoji3]ila nilitoa angalizo mapema kwamba nikizipata sigawii
Umenitukana na uzee huu unanifananishaje na mtoto wa nursery mm
Ohoo kwamba utatukimbia.?[emoji3][emoji3][emoji3]ila nilitoa angalizo mapema kwamba nikizipata sigawii
Sent using Jamii Forums mobile app
Binamu inabdi atulie na wazee wenzake bhna[emoji23][emoji23]Kheee na wewe baba wawili unamgeuka binamu yako daah
Kujizeesha huko ili tukose wajomba au.?Umenitukana na uzee huu unanifananishaje na mtoto wa nursery mm
HahahHahahhahha yani navuta tu katoto kazuri anavyomwaga mapovu jamani na magazeti yake
Hahahaha hachelew kuanza kutoa maneno yake yale ya mafumbo mafumbo
Kupokea begi lake lililojaa mapesa ya koroshow,,alidai leo anakuja na mzgo woteUnaenda wapi sasa baba wawili
[emoji23][emoji23][emoji23]ndo unayaogopa jirani aa jaman jiraniHahahaha hachelew kuanza kutoa maneno yake yale ya mafumbo mafumbo
Sent using Jamii Forums mobile app