Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,444
Weeeeh sio kwa moto wa sasa bwana acha nijiachie tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kweli mkuu!!huku poa kabisa mkuu, tunazidi kupambana tuweze kulea familia si unajua tena
Hahaaa masikini weee pole ", hauna team ... yaani man u ndiyo inakupa raha ", !!!!!?Man u inanipa rahaaa mimi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na nilivyo mzee sasa acha uendelee kuongezeka
[emoji3][emoji3][emoji3]mie nazitaka hela tu nikipata
Naanzaje kutania mm ebu mniache jamaniHahaaa masikini weee pole ", hauna team ... yaani man u ndiyo inakupa raha ", !!!!!?
Itakuwa unatania
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]embu uko khaaNa nilivyo mzee sasa acha uendelee kuongezeka
Woyooooo haya ni zaidi ya mahaba jamani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ss unasema kbs atazionyesha kweli hizo dolari.[emoji3][emoji3][emoji3]mie nazitaka hela tu nikipata
Ndukiii silei watu wazima [emoji6]
Sent using Jamii Forums mobile app
Khaaaaa sio kwa binamu Obe utaisoma no yaan umkimbie na hela zake hakuachiiu atakuroga[emoji3][emoji3][emoji3]mie nazitaka hela tu nikipata
Ndukiii silei watu wazima [emoji6]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa kuna mtu mmoja kule MMU kamwambia mwenzie Asijishaue nakujiona slay queen wakati umri wake umefika JIONI ... aisee nilichekaNa nilivyo mzee sasa acha uendelee kuongezeka
Kweli jamani shangazi ana kitu cha 45
Hahahahaa nimecheka kwa nguvuHahaa kuna mtu mmoja kule MMU kamwambia mwenzie Asijishaue nakujiona slay queen wakati umri wake umefika JIONI ... aisee nilicheka
Sent using Jamii Forums mobile app
Team itakuua kwa pressure hiyo ... tuje kukukosa bureNaanzaje kutania mm ebu mniache jamani
[emoji85][emoji85][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]