Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
Mm sio bwana sina hivyo viatu
Mm sio bwana sina hivyo viatu
kwani kuna ushahidi bana!?Umeanza hivi si umeniacha
Ha ha ha ha kuelekea mwaka mpya,,sitaki anko awe vileHahhaha na umeharibu
Ha ha ha hLaa haulaampk unawasahau mashangazi wengine.
Mungu ni mwema na kwa rehma zake utakua mwaka wenye kheri pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeona jirani,,,fitina hz hahahaHahhaha baba wawili usinipe lawama naanzaje mm kuwapinga wawili wako wa kudownload
Sasa hv kuwa huru shangazi hahahajezi yangu nilikua nikivaa jamani napata shida mm
Ni kweli kabsa ndugu yangu,,ni kumshukuru Mungu weng walitaman kufika hapa lkn hawakufanikiwa,,,Kila jambo tulifanyaro tumtangulize Mungu kwan bila yy sisi sio kitu hapa dunian!!Mkuu nashukuru sana na pole kwa wote.
Tunamshukuru sana Mungu kwasababu leo ndiyo Jumapili ya mwisho ya mwaka 2018 yaani weekend ya mwisho kabisaa.
Furaha ilioje kufika hapa aiseee
Jaman jaman we nae si mkewe?tena akupenda sana hajakwambia Kama kapokea au la!


mhh obe jaman
Mm ebu ngoja nijichunguze
Hahhaha unataka anko wako awe vipiii
Live ndugu yangu, maisha ni mpito tuNi kweli kabsa ndugu yangu,,ni kumshukuru Mungu weng walitaman kufika hapa lkn hawakufanikiwa,,,Kila jambo tulifanyaro tumtangulize Mungu kwan bila yy sisi sio kitu hapa dunian!!
Dunian tupo kwa muda tu mkuu!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli jamani kosa langu liko wapi
Hahahahah Shangazi anaona mbali ujueNdio mwenyew jiran,,sema kuna shangaz yako hapa ana kampen yake ya chini kwa chni kupinga hao wawili hahahaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hivi nipo huru kabisa baba wawili tena mnyama mwenyewe pogba
Subiri tu we mzee
Unichunguze tena kivipi tena