Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hahaha badoo mwaya..ila hizo hela sidhani Kama ntaonja hata shilingi

Sent using Jamii Forums mobile app

Darling, tulia anza kujipima shingo ujue unavaa gold size gani na kisha shingo yako inahimili kilo (karat) ngapi za gold. Yaani nikilipwa hela shingo yako itakuwa kama mererani.

Sasa hivi wanatuhakiki majina, wameshahakiki mashamba saa hizi wanahakiki majina. Nadhani tutalipwa mapema kabla wanga hawajalala
 
Yaani kuto onekana huku majuma kadhaa tayari nimeshaporwa @ ABJ ... ama kweli napenzi kiti cha Bus

Ngoja nimeze panadol kwanza ... nitafute na Valium zilipo otherwise siwezi kupata usingizi mimi !''"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ulibamba Jpili na kwa kuwa hii ni Jpili ya mwisho kwa 2018 basi nakuacha nayo kwa tabasamu pana na ukae ukijua kwamba wewe ni mtu muhimu, ninafurahia kukufahamu bila kuonana na kuwepo kwako hapa, ndiyo, uwepo wako wewe unayesoma aya hii kunalifanya Jukwaa hili kuwa sehemu nzuri kuwepo.

Asante sn.ukiwemo ww pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Darling, tulia anza kujipima shingo ujue unavaa gold size gani na kisha shingo yako inahimili kilo (karat) ngapi za gold. Yaani nikilipwa hela shingo yako itakuwa kama mererani.

Sasa hivi wanatuhakiki majina, wameshahakiki mashamba saa hizi wanahakiki majina. Nadhani tutalipwa mapema kabla wanga hawajalala
Hahhaha kila siku mnahikikiwa tu
 
Darling, tulia anza kujipima shingo ujue unavaa gold size gani na kisha shingo yako inahimili kilo (karat) ngapi za gold. Yaani nikilipwa hela shingo yako itakuwa kama mererani.

Sasa hivi wanatuhakiki majina, wameshahakiki mashamba saa hizi wanahakiki majina. Nadhani tutalipwa mapema kabla wanga hawajalala
Woyooo wapi magold..
Lakini my telemundo hunitakii mema unataka ning'olewe shingo mwenzio huku najiona, basi ntavaa kiunoni siyo lazima wambea wazione

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom