Makapuku Forum

Makapuku Forum

nadhani ameuona ushauri wako na ataufanyia kz.
Hivi umeamka salama eti, ?

Sent using Jamii Forums mobile app

...nimeamka salama dear, huu mwaka wangu wallah, sija;lipwa hela yoyote lakini nina furaha kwa sababu wewe upo na umenijulia khali bila kujali mali. Uwe na wakati mzuri leo. Imekuwa ni jambo zuri kwangu kuufunga mwaka kwa tabasamu na rafiki kama wewe. Asante
 
Bila shaka tabasamu hili litadumu kwa mwaka mzima ujao kwa uwezo wake Muumba.
Pesa zikija chaaap niite nikuhesabie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom