EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,115
- 25,414
Kaka mie nipo, nambie!Mkuu upo?
Kaka mie nipo, nambie!Mkuu upo?
Kumbe unanipenda.Natamani arudi hata kesho
Ameenda kupumzika kidogo.
Nakupenda upendo wa agapeKumbe unanipenda.
Yani mpaka nimekonda kwa kumsubiri huyu mwanamke.
Iko njema sana kaka.Habari ya jioni wapendwa.
Kwani uliyoweka wewe ya nani?Uzuri wa huku avatar nyingi siyo za wahusika wenyewe na hiyo iko wazi.
As normal as usual
Ya celebrity mmoja hivi... Humjui?Kwani uliyoweka wewe ya nani?
Hayo mambo wanatumia wachovu kama peterchokaHa haaaa nawe jaribu kizizi basi
Sizitaki mbichi hiziHayo mambo wanatumia wachovu kama peterchoka
Mwanamke kama huyu akafie mbali.Duh wanaume mnavumilia mengi sana
Ameenda kujifungulia huko nini?Yupo kijijini.
Kwetu tunasema kama mbwai mbwai tuUbaya ubaya tu.
Mimi mwenyewe pia nakupenda upendo wa agape.Nakupenda upendo wa agape
Unaenda na demu guest house anakuvizia umelala nae anajifanya amelala kumbe ni mtego tu anachukua kila kitu na kusepa hata kabla hakujapambazuka
Yamemkuta huyo. hahahaaa...Brother vipi yamekukuta.????
Labda kama ulimpa ndotoni.Ameenda kujifungulia huko nini?
Ila ile mimba ni yangu embu jaribu kuuliza vzuri atakwambia