Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,503
- 57,043
Brother siku nyingine tutaftane basi.Ndani ya mitaa ya moshi![]()
Brother siku nyingine tutaftane basi.Ndani ya mitaa ya moshi![]()
We umejuaje kama jogoo wamgu hawiki?Labda kama ulimpa ndotoni.
Jogoo mwenyewe hawiki hiyo mimba utampaje?

Hahahaaa... Mwambie huyo.Bora arudi maana sikuhizi umegeuka kunguru
a difficultt philosophy but ndo ukwel huo....hahhahahaah goood example Lecester cityFact!!
Wengine wanadaiwa hadi 6000Na sisamehi mpaka wafidie likes zote nilizowapa ndo TUTAPATANA
No shobo
No ufagio
![]()
![]()
![]()
.............
Hakuna noma mkuu, Pamoja sana..Kaka mie nipo, nambie!
Kwani we uko wapi?Brother siku nyingine tutaftane basi.
We nakujua toka kitambo tu.We umejuaje kama jogoo wamgu hawiki?
Au yeye mwenyewe ndo alikwambia?
![]()
![]()
![]()
Bure kabisaaWachane tu kwani bei gani????
hhahha tena chakula cha kuku wa kienyeji![]()
Girls be like![]()
![]()
![]()
![]()
Hili fumbo lako ni gumu sanaaa, maana nmejaribu kuvutia picha ni sehemu gani hiyo Moshi lakin nmeshindwa?Ndani ya mitaa ya moshi![]()
Pole sana kaka.Hahahaa hawa mademu we acha tu ni hatari
Niko Rau brother.Kwani we uko wapi?
Nikukopeshe??Mbaya sana tu.
Pesa hamna
Mali zao zipigwe mnadaWengine wanadaiwa hadi 6000
Swali lingine.We nakujua toka kitambo tu.
Tena ukinitibua nitatoa ile siri nyingine jinsi mabinti wanavyokukimbia hapa kitaa kwasababu ya mkono wa sweta.

HakikaYani hizo 960 zinawasaidia Sana.
Majukumu ndo yananipoteza
Umrushe roho nani??Akirudi mtanikoma.
Lazima niwarushe roho.