Linamo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,976
- 24,498
Kinachuruzika jasho taratiiibuWii karibuuu
Ijumaa naipenda sanaaaa
Kinachuruzika jasho taratiiibuWii karibuuu
Ijumaa naipenda sanaaaa
haaaa!...ze ndi ndi ndi..Kwangu... Kuna tatizooo....
NotedMtu asiyetoa hata kiduchu sapoti/ LIKES kwa makapuku wenzake ni KAPUKU FEKI
Muogopeni km njaa
.....................

Akirudi mtanikoma.
Lazima niwarushe roho.
umrushe nani?
Nikimbize vipi kaka?Kimbiza hiyo namba mkuu
Taratibu na pozi langu LA counter sitak stress mieeeeKinachuruzika jasho taratiiibu
Matokeo yake wanapoteza mvuto kabisaaaWengi wanataka kufanana na wale wanawake wa kule Instagram.
Mbaya sana tu.Njema mkuu habari ya week end
Kabisaaa uwiiiii ni shidaaaTaratibu na pozi langu LA counter sitak stress mieeee
Hahahahaaa... Ila kweli.Au atakuwa Halotel kitengo cha marketing
Sasa umempendea nini.Kwangu... Kuna tatizooo....
Mi nilimionaga yule sepetunga airport nilishangaaa nusu nibishe kuwa sio yeyeLulu nadhani anatumia 960...maana kuna siku nilikutana naye water front nilistaajabu. Nikasema tuache insta iitwe insta
kama yamekufika pole mkuuHahahaa hawa mademu we acha tu ni hatari
MahabaaaaSasa umempendea nini.
Mtu hana hata pakulala.
Shemdarling mzima wewe???Hahahahaaa... Ila kweli.
Pole sana kaka.Hahahaa hawa mademu we acha tu ni hatari
Yani hizo 960 zinawasaidia Sana.Mi nilimionaga yule sepetunga airport nilishangaaa nusu nibishe kuwa sio yeye
Sio insta tu hata humu, hizi avatar hizi zinamengi nyuma yakeUsiamini kila kitu unachokiona Instagram, asilimia 90 ya vitu ni kufake.