Makapuku Forum

Makapuku Forum

Sie weekend ndio imeanzaaaaa
1463150549876.jpg
 
Mimi sipendi sana kusema sema ila wengi sana hapa hawatoi like au wanabagua wakumpa NA BAADHI YAO NI WALE WANAOSISITIZA WENZAO WAGONGE LIKE.

Siku nyingine nitawachana live bila chenga kwani bei GANI!!
Wanaudhi
Mi ukiona namkaushia mtu ujue yy anajifanya mjanja ndo mimi nakuwa BONGE LA KAUZU

................
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom