Makapuku Forum

Makapuku Forum

Wahusika mnajijua ht mkizuga
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
..............
Mimi sipendi sana kusema sema ila wengi sana hapa hawatoi like au wanabagua wakumpa NA BAADHI YAO NI WALE WANAOSISITIZA WENZAO WAGONGE LIKE.

Siku nyingine nitawachana live bila chenga kwani bei GANI!![emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
 
Back
Top Bottom