Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hahhaha ila wewe binamu hao uliowatag hawahusiki kabisa usiniharibie wimbo wangu wala babe wangu hayupo jf wala haijui
Wewe unayejijua kuwa ni nyongo mkalia ini wake basi burudika namuziki huu. Binafsi mimi sikujui ila aunt Shunie hajakutaja sasa anko wangu Lyon Lee , au mtu chake , Davet , na wengine nawatakia msimu mzuri wa sikukuu

Yale maneno yako mpaka leo yanajirudia kwenye akili yangu" stop crying beautiful, everything will be fine" hujui tuu we mtu ni namna gani ule usiku hayo maneno yalinipa faraja
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Naniii huyu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Naniii huyu
Hahaha hahaha hahaha
Mimi namuita malaika.... Alinisemesha kwa upendo, alinitia moyo! Mpaka machozi yakakauka!
 
Back
Top Bottom