Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,117
Wazuri sanaaaaaaNitarudi baadaye wadau.![]()
Wazuri sanaaaaaaNitarudi baadaye wadau.![]()
Kwani kuna tatizoooo?Naona baby zimekuwa nyingi.
Wengi wanataka kufanana na wale wanawake wa kule Instagram.Fact[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
Unconditional love bae[emoji8] [emoji8] [emoji182]I feel u my lady
Pamoja sana Shem hakuna mbaya...Niko poa shemeji.
Habari yako.
This Time Tomorrow [emoji15] [emoji15]Bae yetu lini vileee
[emoji132] [emoji132]This Time Tomorrow [emoji15] [emoji15]
Kweli kabisa mkuu.Even wa Instagram hawako Kama wanavyoonekana insta. Ni mwendo wa editing mpaka wanapoteza uhalisia.
Sana.Wazuri sanaaaaaa
500 mega pixelsKweli kabisa mkuu.
Ukitaka ufanane na wale wa Instagram labda utumie Camera 660*
Lulu nadhani anatumia 960...maana kuna siku nilikutana naye water front nilistaajabu. Nikasema tuache insta iitwe instaKweli kabisa mkuu.
Ukitaka ufanane na wale wa Instagram labda utumie Camera 660*
Tatizo lipo.Kwani kuna tatizoooo?
Pamoja sana.Pamoja sana Shem hakuna mbaya...
Siyo kijana. Huyo ndo shemeji yako. Hapo Dada yako nimekufa nimeoza sisikii wala sioni.Tatizo lipo.
Yani huyu kijana ndo anakupa kiburi!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]500 mega pixels
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
..................
Mtu asiyetoa hata kiduchu sapoti/ LIKES kwa makapuku wenzake ni KAPUKU FEKI
Muogopeni km njaa
.....................
ohoo! jiwe limerushwa gizani hili..Mtu asiyetoa hata kiduchu sapoti/ LIKES kwa makapuku wenzake ni KAPUKU FEKI
Muogopeni km njaa
.....................