Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,503
- 57,043
Poa basi Kheri.Mimi mzima kabisa.
Poa basi Kheri.Mimi mzima kabisa.
Si ana helaNamuonea huyu jamaa wivu, maana kaopoa wife wa ukwel...!!
Hakika mpenziKabisaa wengi wana kila kitu wanaitafuta hata ya kununua hawaipati.
Na wewe pia myn..Asante my... Jion njema
Ni kweli kabisa![]()
Ndoa baraka
........
Mie mzima kabisaDada angu nipo poa ile mbaya...Wewe je?
rangi adimu hiyoWow
Always black is beauty
![]()
![]()
Bae yetu lini vileeeHakika mpenzi
Aisee kumbe haya mambo yamefika huku.Love you too hubby...![]()
![]()
![]()
Poa sana Shemeji..Kwema?Habari ya jioni wapendwa.
Mambo gani?Aisee kumbe haya mambo yamefika huku.
Kama yangu na yako baerangi adimu hiyo
Rangi ya ukweli sana hiyorangi adimu hiyo
Naona baby zimekuwa nyingi.Mambo gani?
Niko poa shemeji.Poa sana Shemeji..Kwema?
Even wa Instagram hawako Kama wanavyoonekana insta. Ni mwendo wa editing mpaka wanapoteza uhalisia.![]()
Jikubali vile ulivyo.
I feel u my ladyLove you too hubby...![]()
![]()
![]()