Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]marybaby nakusalimia sana na kukutakia kumbatio zuri na makiss ya kumwaga ukiamka (kama umelala sasa hivi)
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]marybaby nakusalimia sana na kukutakia kumbatio zuri na makiss ya kumwaga ukiamka (kama umelala sasa hivi)
Vise versa...ndo maana ndoa za mkeka zinadumu!
Au zile ndoa zetu za kila Ramadhan zinadumu sana
Bodigadi[emoji4] [emoji4]Asante Mungu jamani kwa kufatiliwa bila kujijua
[emoji4]...sijalipwa bado anko, wanatuhakiki kwanza, kuna wakulima feki na hawana vyeti kwa hiyo wanatafutwa wapunguzwe, sisi tuliofaulu hatuna shida ila ndo wanatuchelewesha
[emoji3] [emoji3] [emoji3]...wewe ndo jimama langu, asante sana kwa vitumbua vitamu!! Au sielewi ulimaanisha nini jimama la Obe?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]...nilikuwa sijajua kama nitalipwa hela ya korosho, sasa kicongo ninakitaka maana nimeshaongea na rapa wa Mashujaa band atakuwa ananirusha kila wimbo, akinitaja mara moja anapata buku bee, akichombeza na sifa za kunipamba basi anakula mwekundu wa msimbazi haraka sana
Baki na shikamoo yako mkuuShikamoo jiwe wa stone
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mm na mambo ya kujipodoa tofautiJiwe akijipodoa tayari kwenda kujiachia na mjomba wetu leo weekend![emoji4][emoji4][emoji4] View attachment 969559
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Wooooooozaaaaaaaaa mwenye nyumba katingaaa
[emoji15] u mean this shululu?!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nacheka kisambaa mm[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Bodigadi[emoji4] [emoji4]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Wooooooozaaaaaaaaa mwenye nyumba katingaaa
NimeachaaUnafukuaaa ya kaleee
Habari ya siku[emoji4] [emoji4]Woyoooo mke wa binamu obe huyo
NimeachaaaaaAcha kufukua makaburi bwana
Nimeachaa