Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Una nini eti dada
Hahaha hahaha
Sina ndizi mie
Hahaha hahaha
Sina ndizi mie
Hivi alimaanisha nini etiHahhahaha nimecheka sana
Aibu naona mimiUna nini eti dada
Afanye tu mi sijamkataza mbonaNa wewe umezidi kupotea bwana sasa mwanaume mda wote afanye nini
[emoji6][emoji6][emoji6]Ukimaanisha nini wewe
Hivi alimaanisha nini eti
Hebu sema upesi[emoji6][emoji6][emoji6]
Aibu naona mimi
Huo ndio uanamkeAfanye tu mi sijamkataza mbona
DaaahHahaha mm nitajuaje jamani
Kalete fimbo kwanza![emoji4][emoji4][emoji4]Hebu sema upesi
Hata sijuiAibu ya nn sasa
Niilete mara ya ngapiKalete fimbo kwanza![emoji4][emoji4][emoji4]
Dada Sakayo wa leo at least siyo wa jana![emoji6][emoji6][emoji6]Niilete mara ya ngapi
Baki na shikamoo yako mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wapiii @ABJ
Mbwaa amekamatiaaKing Mswati lee akichangamkia fursa![emoji16][emoji16][emoji16] View attachment 969592
Siyo mbwa ni wewe apo mzee wa fursa![emoji1][emoji1][emoji1]Mbwaa amekamatiaa
Sasa mbona ulikuwa unamfanyia obe teuzi?![emoji15][emoji15][emoji15]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We vipiiiii nimemfanyia wapii mm obe mwenyewe alikua anapambana na hali yake