Makapuku Forum

Makapuku Forum

Shangazi akijipodoa tayari kwenda kujiachia na mjomba wetu leo weekend![emoji4][emoji4][emoji4]
20181216_111037.gif
 
...na mimi anko kipenzi nimekuona na asante sana kwa ushauri wako, nimeuzingatia sana, Hii busara uliyonipa hadi nashangaa inakuwaje huwa unafumaniwa sasa au ndo mganga hajigangi
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
...aisee, kumbe walokole ni walevi hivi, wanakunywa novida wanalewa halafu hatuambiani!!! Hii sio haki kabisa, hebu nielekeze hilo kanisa niende fasa, na kama kuna mkesha na wanakwaya wapo
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Back
Top Bottom