Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,117
- 1,249,279
Maisha ni mtazamo wa mtu, vile unavyoyaona ndani ya nafsi yako ndivyo yalivyo. Ukiyaona magumu yatakuwa magumu kweli kweli, ukiyaona ya kawaida yatakuwa kawaida, ukiyaona ni fursa yatakusukuma kufanya mambo makubwa zaidi yatayokusogeza mbele kimaendeleo. Uskariri Njia ya kupita, njia zipo nyingi sana tena nzuri sana ukizielewa endapo utazitazama kwa jicho la tatu. Usijiwekee mipaka kwenye maarifa ya utaftaji.
