Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Hahahahhah
Barikiwa baba (Muuza korosho asie na shamba)![]()
Barikiwa baba (Muuza korosho asie na shamba)![]()
ohoo,,unayatoa ya ndani tenaNilikuchoshaa sana usiku sikutaka kukusumbuaa asbh



@Behaviourist mjibu mteuzi upesi
Salam zako mama
Mzima shunie
Mzima shunie uhali gani?
Shikamoo binamuAsante kwa kuniombea baraka.
Kuhusu shamba, jamani me nina shamba na cheti changu kinatoa karibu gunia mianne. Wameshahakiki, hapa nasubiri mpunga not, Ntwara kuchele.
Asante kwa kuniombea baraka.
Kuhusu shamba, jamani me nina shamba na cheti changu kinatoa karibu gunia mianne. Wameshahakiki, hapa nasubiri mpunga not, Ntwara kuchele.

Binam wako anajua km cheti kinaonyesha una shamba??Nipo bosi majukumuMzima mm kapwil wangu jamani hofu kwako nimekumiss tu za kupotea
Sauti nzito ya mwanaume mdebwedo itakufaa nini weye?![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Nimekumiss sanaJamaniii
Ndii maana nakumbukwa![]()
.....".alikimbia sababu unatumia unga wa Congo"
Alisikika mlevi mmoja akisimulia kwa sauti wakati anaenda kupokea kitambulisho cha umachinga


Obe mida ya chai hii jamani mbona kelele,?nawe umekua Behaviourist. ?
Yanatumikaje sasa JIWE
Nipo bosi majukumu
Hunishindi mm kapwil jamani yaaniNimekumiss sana
Alafuu etiii usiogeee siku nzimaaa...kwa joto hiliiSio kwa jotrooooo hiliii kunuka kama beberu
Ushauri Konki...chanya bila hasi ni hasara tupu. Omba uteuliwe na jiwe upate hasi ndo uifurahie chanya

