Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Tetra jamani niendelee tu kuongea jiongeze basi
wapii??
wapii??
Shule zikijaa kufunguliwaa tutaonaa vimbwangaHahahaha capitalpool ananifurahushaga sana na vijimambo vyake
Ameonyesha cheti cha shamba eti
Mzima wa afya njema![]()
...ngoja babe hapa pembeni atoke kwanza
Niko poa,,hofu kwako shangazi
Tumemaliza tyl,,hv sasa utatuona sana tu
Hahaha hapana shunie,,mate ni mate tu
Uko poa lakini?
Sina mrithi mm
Khaaa kwani capitalpool ni mwanafunziShule zikijaa kufunguliwaa tutaonaa vimbwanga
Ila Behaviourist anakutakaa wewe shangaziii pemben






jingaaa kweliii
....wadau ngoja niwatumikie wahindi hapa maana nna siku chache sana za kuwatumikia, nikilipwa tu hela zangu naenda kuwatukania hadi chakula chao cha pilipili.
Baniani mbaya....
ABJ hebu njoo mtu wangu mwenyewe, nimekumiss japo leo si alhamis na sidhani kama una umbo la kimiss
Weeeeeeee mzeeee wa churaaaaa umemsikiaaa auntKama anataka laana aje anichungulie
Wanavodaii wadauuKhaaa kwani capitalpool ni mwanafunzi
Hahahaha capitalpool ananifurahushaga sana na vijimambo vyake
Wanavodaii wadauu