marybaby
JF-Expert Member
- Apr 11, 2017
- 3,260
- 9,197
Kwetu salama kbs.Njema marry, habari za huko kwenu
Tumemka salama ingawa hali ya hewa imekuwa chanyaKwetu salama kbs.
Nyie wa kanda ya ziwa jee mmeamka poa?
Hakuna namna inabidi mpambane nayo ya mpito hiyoTumemka salama ingawa hali ya hewa imekuwa chanya
Barikiwa baba (Muuza korosho asie na shamba)![]()
Mm mwenyew shangazi
Mmeshamaliza mapumziko au bado mnaendeleaTupo salama sana,,tulikuwa mapumzko kidogo,,siujua mambo ya mwsho wa mwaka
Ulikua unanitega eenh au baba wawili kuna mate ya aina mbili mm siyajui
Nakusalimiaaa
Hahahahhaa tutakimbianaaaa
Hii tabia ya kukimbiana kitandani sio![]()
Sauti peke yake ? Hata akiwa mdebwedo!!!?
Hujambo Shunie
Tumemka salama ingawa hali ya hewa imekuwa chanya
...chanya bila hasi ni hasara tupu. Omba uteuliwe na jiwe upate hasi ndo uifurahie chanya
Ni heri nisipate uteuzi kuliko kuteuliwa kisha baada ya muda nikatenguliwaSauti nzito ya mwanaume mdebwedo itakufaa nini weye?Sijambo moud za wewe sasa mdebwedo jamani hawezi kuwa na sauti nzito






nacheka mpaka kwenye daladala wananishangaa