moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 158,417
- 776,149
Hii nakubali bila shaka
Hii nakubali bila shaka
Mmmmh, kwa jotro la hapa!!!!?He he sio kwa tz hii watu watanukajeView attachment 965443
Hii nimeipendaChombo kilichotumwa na NASA kwenda kulichunguza jiwe kubwa linaloelekea huku Duniani, kimefanikiwa kukuta maji kwenye jiwe hilo.
Chombo hicho kinachoitwa OSIRIS-REx kimeanza kurudisha majibu ya utafiti kutoka kwenye jiwe hilo lenye ukubwa wa mita 500 ambalo lipo umbali wa maili 100 kutoka kwenye Jua letu.
Uwepo wa maji kwenye jiwe hilo ni furaha kubwa kwa wanasayansi wa NASA, kwa sababu sehemu yoyote ambapo kuna maji basi kuna uwezekano mkubwa wa viumbe hai kuweza kuishi na huu ni mwanzo mzuri katika kufahamu jinsi mfumo wetu wa Jua ulivyoumbwa.View attachment 965445
Asee[emoji3] [emoji3]Mwaka 1971 wakati mwanafalaki Jerry Ehman alipokuwa anachunguza mkusanyiko wa nyota unaoitwa Chi Sagittarii uliokuwa umbali wa miaka 200 ya mwanga kupitia darubini ya mawimbi ya radio, Ehman alipokea mawimbi ya radio yaliyodumu kwa sekunde 72 katika mlolongo wa namba 6EQUJ5 ambapo alizizungushia duara, baadae alipoenda kuyatafsiri mawimbi yale ya radio yalisomeka 'Wow'. Mpaka leo hakuna mwanasayansi aliyeweza kuelezea kama mawimbi hayo ya radio yalitokana na vitu vilivyokuwa huko angani au ni viumbe wengine wanajaribu kuwasiliana nasi. View attachment 965447
Barikiwa baba (Muuza korosho asie na shamba)[emoji4]
Duh..[emoji23][emoji23][emoji23]poleni wakanda ya maziwa. sio kwa jimoshi hilo[emoji114]Nyote mliopo ukanda wa maziwa makuu nawatakia usiku mwemaView attachment 965349
Hii tabia ya kukimbiana kitandani sio[emoji19]Kumekuchaaaa swalamaaaa
[emoji3] [emoji3] [emoji3] mbu wa huku hawafi kijinga jinga[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Duh..[emoji23][emoji23][emoji23]poleni wakanda ya maziwa. sio kwa jimoshi hilo[emoji114]
Wewe unaehitaji tam tam[emoji4]Kati ya teua-tenguzi ambazo zinaenda kukunyang'anya tamuuuuuuuuu yako na mimi ni nani anapaswa akalale?[emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji38][emoji38]Kazi kwenu wanaume wenye sauti za kinandaView attachment 965441
Watusamehe kwakweliHe he sio kwa tz hii watu watanukajeView attachment 965443
Nilikuchoshaa sana usiku sikutaka kukusumbuaa asbhHii tabia ya kukimbiana kitandani sio[emoji19]
Tumeamka fresh kbs,hbr ya weweJamani mmeamkaje humu ndani
Njema marry, habari za huko kwenuTumeamka fresh kbs,hbr ya wewe
[emoji23][emoji23][emoji23]round 5 sakafuni, ?
Niko hapa prince