Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kwa mara ya kwanza wanasayansi kutoka ESA wafanikiwa kupiga picha inayoonesha muonekano wa eneo la ncha ya kaskazini (North Pole) ya Jua letu.
Screenshot_20181212-082530.jpeg
 
Kutokana na ukubwa wake Jupiter ndiyo sayari pekee ambayo haizunguki Jua kama ilivyo kwa sayari zingine badala yake inazunguka eneo ambalo lipo juu kidogo ya Jua.
Screenshot_20181212-082704.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom