...mimi ulivyosema telemundo nikaona imekaa kimalavidavidavi hivi na kwa kuwa namzimia mtoto basi nikamtunuku.
Hapa sasa kuna wale wazee wa fitna wanaweza kupata kitu cha kufanya nikaachika





baba abj weeeeh
Hahahhaha hakujui huyoNi Mimi. Nimebadilika?
Hahahaha
Kwema mkuu
Hahaha shangazi sio mm huyo,unanifahamu vzr ,,acha tusikilize upako bhanaHahhahahah baba wawili jamani siamini ninayoyaona
Nipogo hivi hivi..mtoto mzuri Sina makuuHahahhaha hakujui huyo
Mweh huyu sio wewe I swear
Asante....sina jibu, nimefurahi tu kukuona hapa
Kifua bila pesa hainogiLets keep appointment to prove it!![]()
Ni mm mkuu situmii avatar ya mtu najiweka mwenyewe na sura ya baba angu
Ndio..zimwage juu ya kifuaUnataka niweke picha ya feza pia?![]()
Mmmmmmmmm...nilikumiss pia na kama unavyojua kawaida yangu, nilikumiss sana tangu alhamis
Usimtaje ABJ kwa sauti kubwa, mama yenu nimemuona anapitapita kwa chat


MhHuyuuu jamal lyon wa empire
Hahahahaha aisee kumbeee