Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka kwa sauti mm binamu umeshapata msamiati mpya

...mimi ulivyosema telemundo nikaona imekaa kimalavidavidavi hivi na kwa kuwa namzimia mtoto basi nikamtunuku.

Hapa sasa kuna wale wazee wa fitna wanaweza kupata kitu cha kufanya nikaachika
 
Sijakuelewa hata nilichokujibu na unachoniuliza tofauti

...majibu na maswali ni kama makengeza,

never-let-them-know-your-next-step-36683844.png
 
Back
Top Bottom